KenGold imefikia makubaliano ya kumpa mkataba wa miezi sita kocha mpya raia wa Serbia, Vladislav Heric iliyomtambulisha jana Jumamosi, huku akipewa masharti ya kuhakikisha kikosi hicho chenye makazi ...
UONGOZI wa Tabora United uko hatua za mwisho kukamilisha usajili wa aliyekuwa kipa wa Singida Black Stars, Fikirini Bakari kwa mkopo baada ya nyota huyo kuachana na Fountain Gate alikocheza kwa ...