Kila mgogoro utatatuliwa. Tuna awamu ya kwanza na ya pili, hivyo kila Mtanzania mwenye mgogoro wake ataguswa na wale waliozoea kukiuka haki za watu, hatutawaacha salama, maana tutapita kila kona.