Pweza na supu yake ni chakula cha kitamaduni tangu kale kinachopendwa na wakazi wa maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi , baadhi wakidai samaki huyo ni zaidi ya kitoweo, lakini je wataalamu wa ...
Ulaji wa samaki aina ya pweza na unywaji wa supu yake umekuwa maarufu mno jijinio Dar es Salaam, watumiaji wa supu na nyama ya pweza wanaona kuwa kutotumia mlo huu ni kukosa mambo mazuri .Pweza ...